Mnadhifishaji Tukio la 2: Ruko

af


Mnadhifishaji Tukio la 2: Ruko
Format:
E-bog, ePub
Udgivelsesdato:
11-09-2019
Sprog:
Swahili
Sidetal:
23
  • Beskrivelse
  • Yderligere info
  • Anmeldelser

Roland Benito, ambaye anakifanyia kazi Kitengo Huru cha Malalamiko kuhusu Polisi, ametumwa pamoja na mfanya kazi mwenza kwenda kuwahoji maafisa wawili wa polisi ambao wameitika mwito wa hali ya dharura. Mlinzi mmoja wa jela amejirusha kutoka kwa dirisha ya chumba chake kilicho katika orofa ya nne, punde tu maafisa hawa wawili wanapowasili baada ya kupata malalamishi kuhusu muziki wa sauti ya juu kutoka kwa chumba hicho. Kwa mtazamo wa juu, hakuonekani kuwa na jambo lolote la kukisiwa kuhusu hali hii ila pale inapotambulika kuwa mlinzi huyu wa jela ni baba ya rafiki wa dhati wa mjukuu wake Roland wanaosoma pamoja, Roland anasikia kuwa mfungwa mmoja amefariki kwenye jela pale alipokuwa akifanya kazi na kuwa mlinzi huyu wa jela amekuwa akihisi kutishiwa na anayefuatwa. Je, inawezekana kuwa haya hayakuwa mauaji ya binafsi hatimaye? Anne Larsen, mwandishi wa habari kutoka TV2 East Jutland, pia ananukuu hadithi ya vifo hivi. Wakati wa utafiti wake, anatambua kifo kingine, wakili wa utetezi aliyefariki katika ajali ya barabarani. Anatambua kuwa vifo hivi vyote vinahusishwa na mfungwa mmoja, Patrick Asp muuaji wa mtoto, ambaye alihukumiwa kifungo cha maisha baada ya kumuua mtoto wake mdogo wa kike, na ambaye ni mfungwa katika jela ambayo mlinzi yule wa jela alikuwa akifanya kazi.The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.Inger Gammelgaard Madsen (b. 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Inger Gammelgaard Madsen ana uasilia wa kisomo cha uchoraji wa vielelezo. Alianza kuandika hadithi zinazohusu uhalifu "Dukkebarnet" katika mwaka wa 2008. baada ya kitabu hiki, ameandika vitabu vingine kadhaa vinavyohusu uhalifu. Baadhi ya vitabu hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Slangers gift" (2014), "Dommer og bøddel" (2015) na "Blodregn" (2016).Fil størrelse: 93 KB

Vis mereVis mindre

Udgivelsesdato:
11-09-2019
ISBN13:
9788726270792
Forlag:
SAGA Egmont
Format:
ePub

Vis mereVis mindre

Vis mereVis mindre

Mnadhifishaji Tukio la 2: Ruko

af

Bliv medlem og læs direkte i vores app.
Læs mere om Saxo Premium her.
  • Stream 50.000 e- og lydbøger
  • Ingen binding
  • Leveringstid Straks (sendes på e-mail)

på lager

Fandt du ikke hvad du søgte?

Hvis denne bog ikke er noget for dig, kan du benytte kategorierne nedenfor til at finde andre titler. Klik på en kategori for at se lignende bøger.

Velkommen til Saxo

Du har nu adgang til din konto hos Saxo, og kan se alle oplysninger om dit medlemskab, dine
ordrer og din digitale boghylde under "Mit Saxo".

Som tak for, at du har aktiveret dit medlemskab, har vi valgt at give dig fri læsning hele
sommeren. Dvs. at du frit kan tilgå de mere en 50.000 bøger i Saxos app, samt købe bøger til
vores altid lave medlemspris og fri fragt her på Saxo.com hele juli. Din næste medlemsbetaling
vil først falde i august.

Vi glæder os meget til at byde dig velkommen i vores univers, og håber at du kommer godt i
gang med Saxo Premium.

God sommer og god læselyst!

Med venlig hilsen Saxo

Kom i gang nu!